Mwijaku alishindwa nini kununua kiwanja kinachoendana na mipango yake ya ujenzi? Kampuni ya ujenzi ilishindwa kumshauri?

Watu 100 wanakuja kwako kufanya nn? Kucheza kigodoro au mdumange
 
Sisi vijana tuliotoka familia zinazotutegemea Katika ujenzi wa kwanza Watu huwa tunaanza ujenzi kwa uoga plan yako inaweza kuwa chumba na sebule mara ghafla Mungu anakufungulia milango ya rizki ndo hapo unajikuta umejenga nyumba kali eneo ambalo kila mtu atajidai anakukosoa kwasababu binadam kaumbwa kuona kasoro haraka

Jamaa anastahili pongezi kubwa sana amepambana
 
Atakuwa ana financial advisor,na wabongo uwa Kila kitu tunajua hatuhitaji ushauri😀😀ila mtu mwenye pesa anatakiwa kuwa na financial advisor
 
Una hoja
 
Alishindwa nini kwenda kujenga mbweni huko au bagamoyo
Nimemsikiliza maelezo yake, nikagundua Mwijaku bado ana ushamba wa Kigoma.

Anadai alipata ardhi kubwa Bagamoyo (kama ekari 2) lkn eti akaona hati ya nyumba yake itasoma Pwani. Yeye alitaka isomeke Dar.

Ndiyo maana akaamua kupachik jumba la 2 b huko uswekeni Kigamboni kwenye kiwanja cha 20 kwa 20. Jinga kabisa.
 
Akili kubwa kama hii yako kwa sasa unaweza kuzitafuta kwa Tochi hapa nchini Tanzania ili uzipate, ila Akili za Kipumbavu na Mipumbavu ndiyo zimetapakaa kama Uyoga.
 
Sukumizia na picha au unataka tuaminije?
 
Ukisikia wabongo ndio kama huyu mleta mada.

Tafuta hela.
 
Mimi ninampongeza Mwijaku ila kusema katumia bilioni 1 kujenga nyumba ni ujinga mtupu. Hawa watu maarufu huwa lazima wadanganye? Au ndo fashion? Angekuwa na bilioni angepoteza muda wake kumtumikia bepari pale Clouds? Utangazaji na uandishi kwa ujumla ni tasnia zenye mishahara midogo sana. Faida waliyo nayo huwa ni umaarufu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…