Mwijaku alishindwa nini kununua kiwanja kinachoendana na mipango yake ya ujenzi? Kampuni ya ujenzi ilishindwa kumshauri?

Hiv ile ni nyumba ya kulala au ni nyumba ya ndoto zake. Na kingine angalia huyo mtu huko alikozaliwa mazingira huwa yanamshepu mtu. Yote na yote amejitahd anapaswa kupongezwa ni hatua kubwa hasa kwa wasanii. wengi ninaowajua wanaishi maeneo mabovu balaa.
 
Thamani ya nyumba ya Mwijaku inategemea anaongea akiwa wapi na siku gani. Jana alisema Ina thamani ya bil.1.3, leo kuna pahala anasema ni bili. 3. Soma hapa chini.
 
Siwezi kuwa na 300M nikajenga kwny eneo lenye chini ya nusu heka

NASEMA SIWEZI
Hata nusu eka ni mdogo sana, angalau eka 1.5 Mkuu. Kuna estate Arusha inauza maeneo kwa ajili ya makazi, eneo dogo kabisa ni eka 2, na wamegoma kabisa kushusha chini ya hizo eka 2. Na ukijenga hakuna kuweka ukuta.

Huwa nasema hii estate au ya hivi nitakuja nunua tu eneo humo ndani.
 
Yeye ana nyumba

Wewe una nini zaidi ya Majungu?
 
Mwijaku naye kazidi sifa Mara bilioni tatu Mara bil 1.3 sijui tushike lipi

Bado nyumba ya msechu itabaki kuwa no 1
Mwijaku yeye alitaka tu kutimiza ndoto yake kujenga gorofa ila finishing yake ya kawaida tu

Hongera zake lakini ameupiga mwingi
 
Yani Mwijaku apate bilion hivi nyie bilion Moja mnadhani ni matako !


Ana enforcement ipi ya kumpa hiyo Hela hebu itaje hapa
 
Ebu kuwa serious..nyumba YA mwijaku haizidi 250,000,0000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…