Uchawa umemsevuKuipigia debe Royal Tour imemwokoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acheni kumsingizia, mbona hujaweka hizo picha za utupu tutathmini?
Uchawa unalipa sana, muulize Mbowe atakuambia.Uchawa umemsevu
Sio kila mtu ni Mwana siasa! JieshimuUchawa unalipa sana, muulize Mbowe atakuambia.
Kesi ni kusambaza picha za utupu..Hii kesi ina ukakasi sana hukumu yake. Kuna vitu vinafikirisha sana. Wanaharakati wakivalia njuga mtu Mwijaku lazima anaswe nyavuni otherwise kuna kitu kibaya tutakipanda kama mbegu.
Umetoa mchango ngani mkuuKesi ni kusambaza picha za utupu..
Lakini kama kumbukumbu zangu ziko sahihi iliyosambaa ni video ya ngono, technically tatizo linaanzia hapa, lakini tuwe wakweli ile video ilikuwa recorded willingly kabisa, na kwa vyovyote vile na mhusika alikuwa nayo, yawezekana hata aliyesambaza ni dada yetu mwenyewe ili kupata umaarufu, kwahiyo sishangai kukosekana kwa ushahidi.
Ushauri, dada zetu msikubali kurecord chochote mkiwa kwenye mambo yenu, lakini vijana wa kizazi hiki mnapata wapi muda wa kufanya mambo hayo? Vijana jitahidini kufanya mazoezi na kula chakula bora ili muwe na afaya njema kamwe hamtapata muda wa upuuzi huo
Ujui unachoshauriKesi ni kusambaza picha za utupu..