PostGE2025 Mwijaku atoa ushauri kwa wasanii wa Bongo Fleva kwa 'wakati huu'

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwanza wajue walichagua upande wa dhulma, wao kule kushabikia na ku-support watekaji na wauaji wao ni accomplice kwenye unyama wote uliofanywa na unaoendelea kufanywa.
 
Hatuna muda na wao..

Kwanza walishachunda hata kabla ya uchawa wao..

Alafu si walisema vijana tufanye kazi? Basi na wao warudi mtaani wafanye kazi!

Huo mziki wao ndiyo basi tena, ndani hawakubaliki nje ndiyo kabisaaaa!

Na mwisho wa siku, kwa sasa Kenya ndiyo wanatoa ngoma kali sana zenye vina na ujumbe konkii! Sio kama wao kila siku ilikuwa wanaimba matusi tu!

Wanangu hebu kuleni hii mixing kaali kwanza ili tupooze ubongo:


View: https://youtu.be/61byQ2E1tbI?si=UgRExvz68pcrv8LN
 
Mbona clip imejaa ugoro mtupu?
Hao wasanii uchwara watakula walikopeleka mboga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…