Mwijaku awatolea mbovu Wakenya, 'Mpunguze ujuaji na roho mbaya', amkingia Kifua Diamond Platnumz

Mwijaku awatolea mbovu Wakenya, 'Mpunguze ujuaji na roho mbaya', amkingia Kifua Diamond Platnumz

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwijaku amewajia juu baadhi ya Wakenya wanaoonyesha chuki na dharau kwa Diamond Platnumz na wasanii wengine wa Tanzania.
IMG_1371.jpeg

Kauli yake imefuatia taarifa za kuvunjika kwa show ya Diamond usiku wa kuamkia leo Jumapili kwa kile kinachodaiwa Mzozo mkali kuzuka Willy Paul akizuiwa kutumbuiza kabla ya Diamond Platnumz kwenye tamasha la Furaha City
IMG_1374.jpeg
IMG_1373.jpeg

Pia, Soma:
+ Mzozo mkali wazuka Willy Paul akizuiwa kutumbuiza kabla ya Diamond Platnumz kwenye tamasha la Furaha City

Mwijaku amewasisitiza kuwa maendeleo ya muziki yanahitaji ushirikiano na heshima kati ya nchi za Afrika Mashariki. "Wakenya kama hamtobadilika kamwe hamtakuja kufanikiwa kimuziki. Punguzeni ujuaji na roho mbaya"

Tazama wakati ambacho meneja wa Diamond, Sallam SK alionekana akimuomba Willy Paul amuache Diamond atumbuize kwanza.
 
Kila mtu awe mzalendo na nchi yake ,wakenya wapo sahihi kujipa mashavu wao kwanza.
 
Ajabu mpk sasahivi sijaelewa kilichowafanya waleteane mzozo..😅
 
Back
Top Bottom