Mwijaku, Clinton na Rachel _ cloudsTv

yahoocom

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
331
Reaction score
379
Wanajamvi nnaomba kuwaulizia hawa watu walikua na kipindi cha mahusiano, hivi bado wanaendelea na kama ndio kipo lini na saa ngap maana wengine tunapata shida kujua vpnd vya tv vpo lini na lini nnasiku siwaoni that's why. Ntashukuru nikitaaarfiwa
 
Waafrika wengi mambo yao ni temporal tu
 
kulikuwa na mademu mle
nlikuwa napenda kuangalia ili kuweka mood sawa
 
Hiv kile kipindi cha terminal
Kinachorushwa na hariss kapga
Na lilian mwasha Bado kipo
 
Rachel Kanenepa sana kawa BONGE sana,wenzake wananenepa wakishaolewa ila yeye ananenepa before kuolewa atapata tabu sana.
 
Clinton playboy(kisanii) na Mwijaku(Comedian) kipindi kilikuwa kizuri sana...J3 mpaka J5 nafikiri na pia kulikuwa na Tamthilia Clouds inimesahau jina lakini ilikuwa inaishia na RECORDS ilikuwa nyo bomba....Ukiacha Udhulumati RUge kwenye Ubunifu yupo Vizuri.
 
Usista duu n ubraza men ulizidi mpakà kufika climax kilichofuata ni kushuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…