Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,058
- 14,382
Chawa na mtangazaji wa CloudsFm Mwijaku, ame mtahadharisha msanii Diamond Platinumz kuwa asije kuthubutu akainua mkono wake na kumpiga kwani atamuumiza vibaya mno.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mwijaku amesema,
"MWAMBINO USIJE KUTAKA KUINUA MKONO WAKO KWANGU. NITAKUPIGA HUTAAMINI NAJUA JANA USIKU UMESHAWISHIWA NA VIJNA WAKO ETI UJE UNIPIGE. NAKUONYA MIMI NITAKUUMIZA SIO MAPUA
MIE"
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️