Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Akawaambie hivi familia zilipoteza wapendwa wao. Tuone kama watamuelewaHuyu kichwa maji Mwijaku na huo upara wake kama ugali wa moto anaendelea kujibaraguza tu hapa! Yani anaendelea kutia hasira sana.
NDugu zangu uchaguzi umekwisha na sasa tuijenge nchi yetu najuwa tuna hasira, chuki, tunamaumivu ila tusamehane, Tulipokesea sisi mtusamehe na tuijenge nchi yetu Ilove Tanzania I love my people
View attachment 3497319
Huu ufala mliolishwa na bi ushungi naona unafanya kaziTusameheane vipi?? Wasameheane raia wa kigeni/nchi jirani waliofanya maandamano nchini kwetu ambao mwisho wa siku walikula risasi za moto, sisi hatuna shida na ndugu zetu kina mwijaku wawe na amani kabisa.
Hata asipotoa pole ni sawa tu maana yamepangwa huko yanakuja kutoa pole zao za kinafki.Yaani kuwatakia heri ya kupona haraka na kuwatakia amani ya Milele Marehemu walofariki kwenye kadhia hii ameshindwa?
Usi comment kwa mihemuko, tumia akiliHuu ufala mliolishwa na bi ushungi naona unafanya kazi
Hajamtaja mama pumbavu kabisa huyuHuyu kichwa maji Mwijaku na huo upara wake kama ugali wa moto anaendelea kujibaraguza tu hapa! Yani anaendelea kutia hasira sana.
NDugu zangu uchaguzi umekwisha na sasa tuijenge nchi yetu najuwa tuna hasira, chuki, tunamaumivu ila tusamehane, Tulipokesea sisi mtusamehe na tuijenge nchi yetu Ilove Tanzania I love my people
View attachment 3497319