Mwijaku uso kwa uso na Diamond Platnumz leo Dodoma kwenye mkutano wa CCM

Mwijaku uso kwa uso na Diamond Platnumz leo Dodoma kwenye mkutano wa CCM

Ukiwa na hela hautaona ubaya wa ccm
ni sisi tu na njaa zetu tuna hasira nao...
tafuteni hela jamani....
 
Ila SSM wasidharau nguvu ya mitandao, Mwabukusu nguvu kubwa ilikuwa mitandaoni, TAL pia ilikuwa mirandaoni. Walisema makelele ya mitandaoni siyo wapiga kura kiko wapi sasa.
 
Back
Top Bottom