my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Mwijaku wakati akihojiwa na bongo five leo amesema Hamisa Mobetto anajitambua sana ndio maana kuna watu wakimuona wanatetemeka mikojo inawatoka mpaka wengine wanajinyea kwa kuomuona Hamisa kwasababu ni mrembo sana kuliko anavonekana kwa picha za instagram 😅
Na pia amesema Diamond platnumz hawezi kumsahau hamisa kwa sababu mapenzi aliyopewa kwa hamisa hakuna sehemu yoyote amewahi kuyapata.
Kuhusu yeye mwijaku kufanana na mtoto wa diamond platnumz na tanasha amesema amepewa offer ya kupima DNA kati yke na mtoto hyo( nasibu jr) lakn amekataa kwasababu akipima DNA nchi inaweza kuingia machafukoni kwa sababu kitanda hakizai haramu 😂