Mwijaku: Watanzania wakimuona Hamisa Mobetto wanatetemeka

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Mwijaku wakati akihojiwa na bongo five leo amesema Hamisa Mobetto anajitambua sana ndio maana kuna watu wakimuona wanatetemeka mikojo inawatoka mpaka wengine wanajinyea kwa kuomuona Hamisa kwasababu ni mrembo sana kuliko anavonekana kwa picha za instagram πŸ˜…

Na pia amesema Diamond platnumz hawezi kumsahau hamisa kwa sababu mapenzi aliyopewa kwa hamisa hakuna sehemu yoyote amewahi kuyapata.

Kuhusu yeye mwijaku kufanana na mtoto wa diamond platnumz na tanasha amesema amepewa offer ya kupima DNA kati yke na mtoto hyo( nasibu jr) lakn amekataa kwasababu akipima DNA nchi inaweza kuingia machafukoni kwa sababu kitanda hakizai haramu πŸ˜‚


 
Huyu ndio nani na yeye?
 
Huyu jamaa hana mshipa wa aibu,yaani pamoja na ile scandal yake na Menina lkn bado anapenda kuuza sura.

Ila kamuharibia sana maisha binti wa watu,kwani video zake zipo kwe site na zitaendelea kuwepo.

Sijui kama hata shughuliza zake za uMC kama anazifanya siku hizi.
 
Hivi huyu mwijaku anajitambua kweli nikimuangalia kama Mbili Kaso

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni mwanamuziki, muigizaji au mcheza npira ni nani hasa huyu na anafanya kazi kani hadi kutajwa humu maana wengine ndio tunamsikia leo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haji manara wa hamisa
 
Hayo maneno kutamka mwanaume lazima kunashida,yani type za michicha mwiba hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…