Duka lazima liwe mbali na maskani ya watu hasa vijana.Ni biashara ya duka genge...mwanzoni mauzo yalikuwa mazuri kidogo kidogo mauzo yakashuka sana....USHAURI...kwenye mazingira hayo bwashee ai kwamba umelogwa...bali wewe mwenyewe umegeuza ofisi yako kuwa kijiwe cha bodaboda....mtu akitaka kuja dukani kwako anajiuliza mara mbili manake..wahuni wamelizonga duka na husikiliza kila mteja anachohitaji...kwa mfano nipimie mchele nusu....pembeni kuna bodaboda wambeya wanasikiliza.........
Ni sawa tu na salon za kike, unakuta mtu amejaza wadada eti mashoga zake, halafu wamejitanua tanua ofisini kwake, umbeya na kelele juu.N kwel nmewahi kumpa ushaur kjn flan saluni yake wanajaa vjn jobless wanachek TV kuna baadhi ya wateja huwa wanataka privacy....soo anaona wanaenda saluni yaa mbele zaid