Mwili kuchomachoma,

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Hello Wana JF kama Kuna mtu ambaye anasumbuliwa na Tatizo la mwili kuchomachoma pamoja na kwenye nyayo za miguu Kuna dawa ambayo inasaidia Kwa asilimia 95 Ni za Phamacy sio za kienyeji .Packet Moja zinakaa 10 zinauzwa 10000 tu .ukitumia kabla hata hazijaisha umeshapona ,SIO MIMI NAUZA NA SIFANYI HIYO BIASHARA YA KUUZA DAWA .ILA NIMEONA NI BORA KUSAIDIANA UNAPOONA DAWA YA KUMSAIDIA MWENZAKO MWENYE SHIDA HIYO .NASHINDWA KUACHA NUMBER YANGU HAPA ILA KAMA NI MUHITAJI AU UNAJUA MTU MWENYE HIYO SHIDA PLEASE LET ME KNOW. HAMNA KUKWAZANA PLEASE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…