Mwili kuhisi kuwaka moto inaweza ikawa dalili ya ugonjwa Gani?

M12

Member
Joined
Jan 21, 2015
Posts
61
Reaction score
24
Habari Wana jukwaa! Kuna Binti anapitia changamoto ya mwili wote kuhisi maumivu ya kuwaka moto muda wote, miguu kuuma, mikono kushika ganzi na mabega kuumia lakini pia na meno yanamuuma ivyo vyote anavihisi Kwa pamoja, inaweza ikawa dalili ya ugonjwa Gani?
 
Itakuwa moja ya disc ya uti wa mgongo imehama mahali pake.
N
Mimi sina taaluma ya udaktari...ila ni uzoefu wa kujisomea hali hiyo ngoja madaktari waje
 
Habari Wana jukwaa! Kuna Binti anapitia changamoto ya mwili wote kuhisi maumivu ya kuwaka moto muda wote, miguu kuuma, mikono kushika ganzi na mabega kuumia lakini pia na meno yanamuuma ivyo vyote anavihisi Kwa pamoja, inaweza ikawa dalili ya ugonjwa Gani?
Sukari...ukapime
 
Arudishe livyokula na kukimbia bila kutanua paja vinginevyo maumivu yatamzidi na atatoka damu kwenye kila tundu mwilini mwake na ndio kifo chake
 
Arudishe nauli ya mkinga aliyemtapeli kwamba atamfata halafu hajatimiza ahadi
 
Binti ndio umwajiri kutoka kijijini au? Kuna wengine mizimu haitaki afanye kazi ....KIKUBWA wahi hospitali mpate vipimo ..usitegemee sana hapa
 
Habari Wana jukwaa! Kuna Binti anapitia changamoto ya mwili wote kuhisi maumivu ya kuwaka moto muda wote, miguu kuuma, mikono kushika ganzi na mabega kuumia lakini pia na meno yanamuuma ivyo vyote anavihisi Kwa pamoja, inaweza ikawa dalili ya ugonjwa Gani?
Habari mkuu, samahani huyu mgonjwa alipona?, kama alipona alipata matibabu gani mpaka kurudi ktk hali yake ya kawaida?, naomba msaada wako kwasababu nipo na mgojwa wa design hii pia.
 
Namimi nataka kujua Nina Hali iyo ila nahis ni acid reflux
 
Back
Top Bottom