Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kapime kama alivyosema bwana chanawaleti kicha tuletee majibu tukushauri.habari zenu wakuu.Naomba kujua mwili kuishiwa na nguvu mara kwa mara ni dalili ya ugonjwa gani?
yaa ni kwel mkuu lina ukaribu sana na BP mimi ilinitokea sana hiyo kitu kipindi nikawa nasikia mwili kuchoka sana sasa nikadhani ni kazi nazofanya ikanipelekea kuwa nakunywa readbull sana siku moja kichwa kilikua kinaniuma mchana nikameza hedex bas jioni nikinywa dragon na konyagi nikiwa usingizini nilitokwa na jasho sana uchomvu ukaongezeka nilipowahi hospital nilikuta presha ipo 180 so mkuu jtahd kupima presha maana huo ugonjwa ni hatari sana je ushapima BPmkuu kuna mtu aliniambia hili linauhusiano na maradhi ya moyo hapo vp?
in short i'm HIV negative