Habari za wakati huu wana jf, wenzagu popote pale, mlipo dununian!
mimi ni kijana ambaye bado sijaoa lakini nina mchumba wangu ambaye ninampenda sana, hata yeye naamini ananipenda.
japo kuwa nampenda lakini ana tatizo la kunuka kikwapa na ukimaliza kufanya sex naye ana tatizo la kutoa harufu chafu sana. hali hii hunifanya kutokufurahia kabisa tendo takatifu kutoka kwa mungu,,,
kutokana na tatizo lake hilo limenifanya kuwa na wasiwasi mkubwa sana hata kumuoa.
japo kuwa anaonga kila baada ya mda mchache lakn tatizo hili limeendelea kumtokea pindi tu, mwili unapohisi joto.
nishawahi kumuelezea lakn akawa mkali sana
na pindi tu, ninapojaribu kungusia juu la tatizo lake la kunuka huwanga ananichukia sana
wana jf wenzangu pamoja na great thinkers wote naombeni ushauri wenu,
kuhusiana na matatizo ya mpenzi wangu
Nini hasa chanzo kikuu cha kunuka kikwapa,?
je,? nimshauri atumie dawa ngani ili kuondoa tatizo lake.
asanten sana