Mwili kuvimba balaaa!

damtu

New Member
Joined
Nov 4, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Habari wanajamii.

Nina tatizo mwilini mwangu, nnapopata maradhi kama homa au maumivu mwilini nikitumia dawa ya aina yoyote inanidhuru, mwili unavimba hatari isipokuwa panadol tu! wakati mwengne hata sindano pia hunidhuru mpaka nichome sindano ya kuondoa alergy (hydrocotizon) ndo napata nafuu. naomba mnisaidie nitumie dawa gani ninapoumwa jamani? napata tabu mwenzenu.

Mdau katika jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…