Habari wanajamii.
Nina tatizo mwilini mwangu, nnapopata maradhi kama homa au maumivu mwilini nikitumia dawa ya aina yoyote inanidhuru, mwili unavimba hatari isipokuwa panadol tu! wakati mwengne hata sindano pia hunidhuru mpaka nichome sindano inaitwa hydrocotizon ndio napata nafuu. naomba mnisaidie nitumie dawa gani ninapoumwa jamani? napata tabu mwenzenu.
Mdau katika jamii.