Mwili kuwa na umeme baada au wakati wa kufanya mapenzi

Mwili kuwa na umeme baada au wakati wa kufanya mapenzi

flagship

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,641
Reaction score
1,189
Habari wana jamvi?nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya hili jambo leo nimeona niliweke jukwaani ili watu waliokutana nalo au wenye uelewa waweze kunipa elimu.

Imenitokea mara kadhaa ninapo-kiss na partner wangu huhisi kitu kama shoti ya umeme. Pia mara kadhaa nimekuwa nikikutana na hii hali baada ya kutoka kufanya mapenzi. Kwa mfano, siku moja baada ya kumaliza tendo nilitoka na mpenzi wangu kwenda kutembea kuna mahali tuligusana tukahisi kitu kama shoti na kila mtu alishituka.

Siku nyingine after sex nilikwenda restaurant kwa ajili ya chakula, niligusa chombo cha kuwekea sabuni tu nilikutana na hali hiyo.Nilichunguza na kujua kuwa sex ni chanzo but nataka kujua hali hii ipoje scientifically and spiritually.
 
Umejaribu kubadilisha mpenz na kuobserve hcho kitu, pengine unahusiana na jini mkuu. Sjui lakin,

Ahahaaahahaaaaa.Ni mpenzi wangu wa muda mrefu na nimezaa naye na hali hii si kwake tu.Ilishawahi kutokea pia katika mahusiano yangu hapo kabla.
 
AU NDIO STIGLERS GAUGE HIYO NINI AU UPO NA JINI........UMEME UNAKATIKA HUKU KWETU KUMBE UNAO AISEE
 
Ahahaaahahaaaaa.Ni mpenzi wangu wa muda mrefu na nimezaa naye na hali hii si kwake tu.Ilishawahi kutokea pia katika mahusiano yangu hapo kabla.
Mke wako ye anasemaje hyo hali anaikuta kwako tu au hata akishirikiana na mtu mwingine? Maana tunatafta ni nani mwenye tatizo hapa kabla ya yote
 
AU NDIO STIGLERS GAUGE HIYO NINI AU UPO NA JINI........UMEME UNAKATIKA HUKU KWETU KUMBE UNAO AISEE

Ahaaahaaahahaa.Siongelei umeme wa aina hiyo mzee naongelea umeme tuli.Tofautisha current electricity na static.Nimeongelea umeme tuli ambao mwili huweza kuumudu.Nipeni majibu wazee.
 
Mara Paap TANESCO wanaomba tenda ya kuja kuzalisha umeme kupitia nyie!! Duuh itakuwa poa sana na tatizo la kukatakata umeme litaisha

[HASHTAG]#UtaniMkuu[/HASHTAG]

Unaniangusha Josseverest!Static electricity.
 
Habari wana jamvi?Nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya hili jambo leo nimeona niliweke jukwaani ili watu waliokutana nalo au wenye uelewa waweze kunipa elimu.Imenitokea mara kadhaa ninapo-kiss na partner wangu huhisi kitu kama shoti ya umeme.Pia mara kadha nimekuwa nikikutana na hii hali baada ya kutoka kufanya mapenzi.Kwa mfano,siku moja baada ya kumaliza tendo nilitoka na mpenzi wangu kwenda kutembea kuna mahali tuligusana tukahisi kitu kama shoti na kila mtu alishituka.Siku nyingine after sex nilikwenda restaurant kwa ajili ya chakula,niligusa chombo cha kuwekea sabuni tu nilikutana na hali hiyo.Nilichunguza na kujua kuwa sex ni chanzo but nataka kujua hali hii ipoje scientifically and spiritually.
Mkuu mimi kukusaidia kuna uzi fulani hivi ulianzishwa nadhani unaendana na huu..upitie halafu utajifunza kitu hapa Msaada: Napigwa shoti nikigusana na mtu au kukanyaga chini bila kuvaa kitu miguuni
 
Ukweli huwa ipo hii. Mimi imekuwa inanitokea Mara nyingi tu ila si baada ya ngono.. Inanitokea hata ukigusa na yeyote japo in Mara chache na in kwa kustukiza.
Wataalamu saidieni hapa

Bora ulivyojitokeza nawewe maana haya mambo kwetu ni mageni ndio maana watu wanaona ni vituko.But in real life yapo toka enzi nadhani.
 
Back
Top Bottom