Mwili kuwa na umeme baada au wakati wa kufanya mapenzi

Mkuu jaribu angalau kwa siku mara mbili unavua viatu na soksi unakanyaga chini chaji zote zinaenda ardhini. Ni muhimu kuwa na mazoea ya kufanya hivyo kwamtu yeyote.
 
Majibu sahihi atakupa Professor Muhongo kama humu tunae, kwahiyo jiandae kuchukua peni na karatasi.
 
Endelea na zinaa ipo siku shot itakutenganisha

Nani kakuambia nafanya zinaa?Acha kukurupuka wewe.Au unatafuta like kupitia huu uzi?Kama haujaelewa pita kimyakimya.
 
Ukweli huwa ipo hii. Mimi imekuwa inanitokea Mara nyingi tu ila si baada ya ngono.. Inanitokea hata ukigusa na yeyote japo in Mara chache na in kwa kustukiza.
Wataalamu saidieni hapa
Static electricity hiyo.
 
Jana mimi nilikuwa nipo ndani nilipigwa short ya maana kwenye kidole gumba.
 
Jinsia yako????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…