Mwili kuwaka moto, hili ni tatizo gani ?

Mwili kuwaka moto, hili ni tatizo gani ?

magange

Member
Joined
May 30, 2015
Posts
65
Reaction score
15
Wapendwa amani iwe kwenu. Samahani nimetoka kuongea na rafiki yangu muda mfupi uliopita akanieleza jinsi ***** anavyoumwa,analalamika mwili kuwaka moto kama mtu anamuunguza na kaa la moto, hiyo hali ikipoa huyo mama anazidiwa zaidi hata kupoteza fahamu na akipimwa bp hukutwa iko juu. Hospitalini wanasema hamna tatizo zaidi ya hiyo presha kuwa juu. Watakatifu wa Mungu naomba msaada wenu nini afanye ili kumsaidia huyu mama
 
Back
Top Bottom