Mwili kuwasha na kututumka baada ya kutumia dawa aina ya Septrin

Mwili kuwasha na kututumka baada ya kutumia dawa aina ya Septrin

Osmokalu

Senior Member
Joined
Nov 13, 2015
Posts
186
Reaction score
148
Mkewangu amekunywa dawa (septrin) sasa basi kinachotekea baadhi ya sehemu za mwili zinamuwasha na zinatutumuka msaada wenu ma doctar nini tatizo na nini tiba yake naomba kuwasilisha
 
Kapata alergy ya sulpha (iliyopo kwenye septrin)

Anachotakiwa kufanya ni
1. Anaacha kutumia iyo dawa
2. Atumie dawa za kuondoa alergy km Prednisolone, cetrizen n.k
 
Kapata alergy ya sulpha (iliyopo kwenye septrin)

Anachotakiwa kufanya ni
1. Anaacha kutumia iyo dawa
2. Atumie dawa za kuondoa alergy km Prednisolone, cetrizen n.k
Asante Dk
 
Back
Top Bottom