Osmokalu Senior Member Joined Nov 13, 2015 Posts 186 Reaction score 148 Oct 4, 2018 #1 Mkewangu amekunywa dawa (septrin) sasa basi kinachotekea baadhi ya sehemu za mwili zinamuwasha na zinatutumuka msaada wenu ma doctar nini tatizo na nini tiba yake naomba kuwasilisha
Mkewangu amekunywa dawa (septrin) sasa basi kinachotekea baadhi ya sehemu za mwili zinamuwasha na zinatutumuka msaada wenu ma doctar nini tatizo na nini tiba yake naomba kuwasilisha
osc michael Member Joined Sep 10, 2017 Posts 55 Reaction score 95 Oct 5, 2018 #2 Kapata alergy ya sulpha (iliyopo kwenye septrin) Anachotakiwa kufanya ni 1. Anaacha kutumia iyo dawa 2. Atumie dawa za kuondoa alergy km Prednisolone, cetrizen n.k
Kapata alergy ya sulpha (iliyopo kwenye septrin) Anachotakiwa kufanya ni 1. Anaacha kutumia iyo dawa 2. Atumie dawa za kuondoa alergy km Prednisolone, cetrizen n.k
Osmokalu Senior Member Joined Nov 13, 2015 Posts 186 Reaction score 148 Oct 5, 2018 Thread starter #3 osc michael said: Kapata alergy ya sulpha (iliyopo kwenye septrin) Anachotakiwa kufanya ni 1. Anaacha kutumia iyo dawa 2. Atumie dawa za kuondoa alergy km Prednisolone, cetrizen n.k Click to expand... Asante Dk
osc michael said: Kapata alergy ya sulpha (iliyopo kwenye septrin) Anachotakiwa kufanya ni 1. Anaacha kutumia iyo dawa 2. Atumie dawa za kuondoa alergy km Prednisolone, cetrizen n.k Click to expand... Asante Dk