M MASEBUNA JF-Expert Member Joined Oct 9, 2011 Posts 243 Reaction score 55 Nov 1, 2011 #1 Dr. Nimepata ugonjwa wa kuwashwa kwa sehyemu za mwili hasa kwnye mapaja, mapumbu na sehemu ya uume nilikwend hospitali nikapima damu lakini hawakuona chochote nimetumia dawa aina tatza kupaka lakini sijapata nafuu. naomba msaada tafadhali
Dr. Nimepata ugonjwa wa kuwashwa kwa sehyemu za mwili hasa kwnye mapaja, mapumbu na sehemu ya uume nilikwend hospitali nikapima damu lakini hawakuona chochote nimetumia dawa aina tatza kupaka lakini sijapata nafuu. naomba msaada tafadhali
mshihiri Senior Member Joined Jul 15, 2011 Posts 138 Reaction score 89 Nov 2, 2011 #2 kapime pengine unamatatizo mawili ama tumbo chafu au una minyoo