Subiri upone.
Kwani ni mraba (kibarua) kwamba usipomaliza hutalipwa??
By the way, physiologially sex is not a high proriority function of the body.....under intense stress, its one of the first things to be quickly shut down!
Umetumia dawa za malaria hata wk 2 hazijaisha unafanya sex? inashauriwa kitaalamu utulie wk 2 baada ya kutumia dawa ya malaria la sivyo itajirudia tena kwa vile mwili unakuwa hauna nguvu.
mkuu NGULI nakubaliana na wewe ila huo uvumilivu wa kukaa wiki mbili,sikufichi sina!labda awe mbali na mimi.
nipe tiba sasa nguvu zirudi
NGULI nimegundua ndio maana siachi kuumwa malaria kila mara yaani siwezi kaa miezi miwili pasipo malaria
Very philosophical of you! The more you think about sex the more underdeveloped you become!
jamaa yangu kaazi kweli kweli hadi nimeamua kuja huku ujue yamenifika mkuu hata hivyo nimeweka update
NGULI, Nguli, Nguli,
Malaria haisababishwi na stress za ngono bali inasababishwa na vimelea aina ya Plasmodium....Kwa hiyo sioni connection ya sex na kushindwa kupona....
Ila kama mwili bado umechoka, hakuna sababu yoyote ya msingi kujilazimisha kufanya ngono/mapenzi hata kwa mke/mume wa ndoa...!!
Babu DC!!
wote mlioniandikia hamjanipa tiba.naomba mnipe tiba ya kurudisha nguvu ili nimtosheleze wifi/shemeji yenu kama zamani
CC😡NGULI
Dark City....
wewe unataka tiba lkn nashangaa aina ya tiba uitakayo kwamba ni lazima iwe dawa..................sikutofautish na bibi yangu mzee ambaye kila akiugua bila kuchomwa sindano haoni kama anatibiwa.wote mlioniandikia hamjanipa tiba.naomba mnipe tiba ya kurudisha nguvu ili nimtosheleze wifi/shemeji yenu kama zamani
CC😡NGULI
Dark City....