wewe unataka tiba lkn nashangaa aina ya tiba uitakayo kwamba ni lazima iwe dawa..................sikutofautish na bibi yangu mzee ambaye kila akiugua bila kuchomwa sindano haoni kama anatibiwa.
sasa hivi wenzio tunaukimbia ulimwengu wa madawa wewe bado unaukumbatia, Dark City kakupa tiba lkn bado hujamuelewa haya mie namalizia kwasababu unataka dawa basi wasiliana na Dark City mie nitampatia MUNDEX akuletee ili uridhike.
Ulienda hospital gani? isije ikawa una Kisukari wakati Zahanati uchochoroni wameona malaria...
Huyo mke nae hana huruma c amshaur mumewe na we baba inaelekea kitombi sn yan unajal sex klko afya looooo
Huyo mke nae hana huruma c amshaur mumewe na we baba inaelekea kitombi sn yan unajal sex klko afya looooo
pima kisukari, ukimwi na preshaNGULI nimegundua ndio maana siachi kuumwa malaria kila mara yaani siwezi kaa miezi miwili pasipo malaria
Huyo mke nae hana huruma c amshaur mumewe na we baba inaelekea kitombi sn yan unajal sex klko afya looooo