Mwili unawasha baada ya kumeza QUINENE.msaada tafadhali

tizo1

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
856
Reaction score
145
nimemaliza quinene vidonge juzi.Mwili unawasha sana. Tatizo ni nini?msaada tafadhali
 
Pole sana tatizo la kuwasha baada ya kutumia kwinini ni side effect yake, ila inaisha kadri dawa uliyotumia inapungua nguvu yake mwilini,hivyo kuwasha kutaisha kwenyewe labda kama itaendelea kwa siku kadhaa ni vema kurudi kwa dk.side effects zingine zinazoweza kutokea baada ya kutumia kwinini ni kichefuchefu,kutapika,mwili kulegea,kupungua sukari mwilini,kuacha kusikia vizuri,kusikia makerere kwenye masikio,kukosa hamu ya chakula,kizunguzungu,kuwasha mwili,kutoona vizuri, nk.zote hizi side effects huisha bila kutumia dawa yeyote,cha msingi zingatia msosi,matunda na kunywa maji ya kutosha.
 

asante sana.ngoja tusubiri na wataalam wengine nao waseme yao.nashukuru sana mkuu.mungu akupe nguvu na moyo wa imani milele..
 
nimemaliza quinene vidonge juzi.Mwili unawasha sana. Tatizo ni nini?msaada tafadhali


Kama ni muwasho wa kawaida upotezee utaisha,ila kama ni too much kiasi cha kukunyima raha /usingizi:
Nenda duka la dawa tafuta dawa ya sindano:
Injection Hydrocortisone 100mg
inachomwa kwenye mshipa wa damu mara 1 tu.
AU
Dawa ya vidonge inaitwa Prednisolone.

Dosage : 15mg kutwa x 3 siku 1.
then
10mg kutwa x 3 siku 1
then
5mg kutwa x3 siku 1
 
pole sana ndugu, tumia dawa inayoitwa cetrizine 10mg once a day utakuwa powa na maji yakutosha!
 
Asanten jaman.nitazid kuwajuza.Hakuna wasi madaktari wangu.
asanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…