Mwili wa albert mangwair kuairishwa tena kuja tz leo

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mwili wa albert mangwair umeairishwa tena kufika leo jumapili kama ilivyotangazwa apo awali,sababu za kufanya bado hazijajulikana,tarehe sahihi ya kuja kwa mwili huo itatangazwa soon....mhh apa kuna bonge la question.mark....
 
Kwa ile postermotem iliifanywa?
majibu yaalikuwaje?
 
Kama ni mambo yetu yaleee ya unga wa ugali hapo lazima kitu ichelewe, na huyo mgonjwa akipona atakuwa na kesi ya kujibu..... Hela za haraka zina mitihani yake wapendwa. Wazazi wetu hawakuwa wajinga kuishi maisha ya kawaida miaka yao yote ya kutukuza. Leo hii una miaka 28 unataka umiliki nyumba, gari, biashara kubwa n.k ni lazima upite short cut
 
Ni taratibu za kawaida hizo, kusafirisha maiti ni tofauti sana na kusafirisha vifurushi vingine! kuna kibali lazima uwe nacho, so kwa mujibu wa Milard niliyetoka nae ni kuwa kuna kibali kinasuburiwa kutoka serikali ya RSA ili mwili uweze kusafirishwa! kwavile marehemu alifia nyumbani kibali inakuwa ngumu kidogo but tuko sure kesho kibali kitatoka ili mpendwa wetu tuweze kumsafirisha
 

Touching words
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…