Heshima kwa nani na mtu amekwisha kufa? Cremation ni njia moja ya kupunguza gharama/usumbufu; mtu anachomwa halafu majivu yanaweza kuhifadhiwa kwenye chungu basi!! Hivyo hakuna usumbufu wa kuwa sijui kuhamisha makaburi kutoka sehemu moja kwenda nyingie kwasababu hakuna makaburi!!