Mwili Wa Kanali wa Guinea Wapatikana akiwa amefariki

Dalton elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
373
Reaction score
829
Mwili wa Kanali wa Guinea ambaye alitoweka karibu mwaka mmoja uliopita uliwasilishwa jana kwa mkewe katika mji mkuu wa Conakry, mmoja wa Wanasheria wao alisema.

Kanali Celestin Bilivogui ni afisa wa pili wa Kijeshi katika miezi ya hivi karibuni kutangazwa kufariki katika Mazingira ya kutatanisha baada ya kukamatwa chini ya utawala wa kijeshi.

Mawakili wa Bilivogui walisema alichukuliwa na vikosi vya usalama kutoka ofisi yake katika idara ya pensheni ya kijeshi mapema Novemba mwaka jana kabla ya kuhamishwa kusikojulikana.

Tukio hilo lilitokea siku chache baada ya Mtawala wa zamani Moussa Dadis Camara na wengine watatu waliokuwa wakishtakiwa kwa mauaji ya mwaka 2009 kutoroka Gerezani katika mji mkuu.

Siku ya Jumatano, mke wake aliitwa katika kituo kikuu cha utawala wa kijeshi huko Conakry na kupelekwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti "ambapo alikabidhiwa mwili wa mumewe", mmoja wa wanasheria wao, Salifou Beavogui, alisema katika ujumbe uliopitishwa kwa vyombo vya habari.
 
Utawala wa jeshi siku zote ni wa hovyo sana.mauaji Huwa ni jambo la kawaida kwao
 
Attachments

  • FB_IMG_1727368868627.jpg
    FB_IMG_1727368868627.jpg
    57.3 KB · Views: 2

Afrika ina wanadamu wanaotawaliwa na majitu yasiyo wanadamu
 
Utawala wa jeshi siku zote ni wa hovyo sana.mauaji Huwa ni jambo la kawaida kwao
Kuna watz wengi wanazani jeshi laeza ongoza nchi
Naonaga cjui ni uchizi wanao au roho mbaya
 
Hakuna kitu kinacho shindikana.

Tanzania haitakuwa nchi ya kwanza kuongozwa kijeshi ama na vyama vyenye jeshi
 
Back
Top Bottom