Mwili wa marehemu mangwair upo humu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Hili ndilo jeneza ambalo mwili wa marehemu albert mangwair umeifadhiwa,bado mwenzetu aja rest in peace mpaka apo watakapoamua kumuifadhi kwenye nyumba yake ya milele,bwana ametoa na bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe....
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1370326922413.jpg
    42 KB · Views: 1,271
Hiyo picha nimetumiwa na rafiki yangu aliyepo south wakati wa kuuaga mwili wa marehemu,uko south
 
Ooh so sad!!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
rip mangwea hakika we will mis you ICON.
 
hili ndilo jeneza ambalo mwili wa marehemu albert mangwair umeifadhiwa,bado mwenzetu aja rest in peace mpaka apo watakapoamua kumuifadhi kwenye nyumba yake ya milele,bwana ametoa na bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe....


kwani litamfanya asioze mkuu???
 
apumzike kwa amani....

Rafiki yako wa south hajatuma picha jinsi alivyokuwa
anaagwa au kakumbuka kutuma picha ya jeneza tu...??????
 
RIP Ngwair
Duniani wote tunapita tu
 
Mwili umefika dar, ila watu wapo nyomi na wamezuia msafara wanataka wabebe jeneza
 
Heaven on earth nimekupenda bureeee,u made my day,aaah aah aah,picha zipo sema sio ustaarabu kuzianika apa,zote ninazo
 
Aaah penda sana ennie aaah aaa safi sanaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…