Mwili wa marehemu mangwair upo humu

Umati ulioenda kumshabikia airport ungekuwa unatokea akifanya show hata kwa kiingilio cha buku 5 tu, labda asingekufa na mapema. Labda angejithamini zaidi na kuwa na sababu milioni za kuishi in a smart way.
 
Njia yetu sote hiyo. Kinachouma zaidi nikutangulia tuu. R.I.P
 
RIP......
Tunawaasa wasanii waache tabia ya kubugia ma cocaine, hili la Mangwair liwe fundisho kwao na vijana wenye tabia ya kubugia madawa ya kulevya

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
RIP......
Tunawaasa wasanii waache tabia ya kubugia ma cocaine, hili la Mangwair liwe fundisho kwao na vijana wenye tabia ya kubugia madawa ya kulevya

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Tatizo sio kuacha,unga ni bidhaa,nani anaileta nani anauza? vijana wanapotea kweli mzee wa blackbeli
 
Nina mashaka sana na baadhi ya wasanii wanaosafiri kwenda nje kwa kisingizio cha kwenda kufanya show nahisi wanatumiwa na baadhi ya vigogo wanaotajwa kwenye mashairi ya nyimbo zao
 
Riport yake mbona kizungumkuti.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…