Mwili wa mtu aliyefariki wapatikana ukiwa unaelekea kwenye mto Ruhiru

Mwili wa mtu aliyefariki wapatikana ukiwa unaelekea kwenye mto Ruhiru

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Wakati taifa la Kenya likiwa linazizima kuhusu matukio ya utekaji na mauaji, matukio kama hayo yameendelea kushamiri.

Siku ya leo mwili wa mtu mmoja aliyefariki umeonekana ukielea kwenye mto Ruhiru.

Mamlaka za nchini bado hazijatoa taarifa zaidi kuhusu tukio hilo.

ru.png

Source: Buzzroom Kenya
 
View attachment 3202549

Source: Buzzroom Kenya
katiba mpya ya Kenya imezingatia zaidi madaraka na vyeo vya wanasiasa kuliko usalama na mahitaji msingi ya wanainchi..

hua wanaandama na masufuria kichwani kudai ugali hali ya kua kwenye katiba walipuuza kudeal na mambo ya usalama wao na pembejeo za kilimo 🐒
 
Back
Top Bottom