Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Kazi yoyote iwe halali au haramu,mtu au kikundi kkkishazoea kuifanya,huifanya kwa ustadi,uangalifu na mahaba makubwa sana.Kelele au kuogopa kwenu ni chachu na hamasa zaidi ya muendelezo.Hawa wanaofanya hivi wana roho gani sijui hawajutii hawajali pamoja na watu kupiga kelele inaogopesha
😢😢🙌Kazi yoyote iwe halali au haramu,mtu au kikundi kkkishazoea kuifanya,huifanya kwa ustadi,uangalifu na mahaba makubwa sana.Kelele au kuogopa kwenu ni chachu na hamasa zaidi ya muendelezo.
Vipi,unaogopa kuiona maiti iliyokatwa kichwa mkuu?🤔
Kumuangalia kuku akichinjwa siwezi sembuse maiti mimi sitaki kuona damu ikiwa aridhiniVipi,unaogopa kuiona maiti iliyokata kichwa mkuu?🤔
Unataka kusema kwa sasa tuna maudhi ya(kufanana) kitaifa na hata kifo kitakuwa cha kitaifa?Mimi sipendi kumsema mtu yeyote vibaya.Naishi na kauli ya serikali kwamba watu hujiteka.Sasa,mkuu kwa kauli hiyo kwani mtu hawezi kujitupa mtoni akiudhiwa na mpenzi wake?I wonder!🤔
Mara paaap:-Chura aka kizimkazi atatumaliza watanganyika tulio wanyonge kabisa. Ila mungu ni mkali mno atackia kilio chetu.
Kazi ni kipimo cha utu
Tuna mioyo yaajabu sanaHawa wanaofanya hivi wana roho gani sijui hawajutii hawajali pamoja na watu kupiga kelele inaogopesha
Ndiyo maana yake.Watukufu viongozi wetu wametuamuru tuamini yote hayo hutokana na migogoro/wivu wa kimapenzi,dhulma hasa ya vijihela na nyakati zingine ni msongo wa mawazo/sonona.Unataka kusema kwa sasa tuna maudhi ya(kufanana) kitaifa na hata kifo kitakuwa cha kitaifa?
Ukipatikana mwili umekatwa kichwa au mwili upo kwenye kiroba au mtu kapotea kabisa tukio hilo liamuliwe kama kifo cha kitaifa,hakuna upelelezi unao hitajika.
Ungemalizia na kuwasaidia wahusishe vifo hivyo na nini hasa?Ninyi werevu mnapaswa kuwa msaada na miongozo nyakati kama hizi.Mijitu mijinga na mitahira lazima ihusishe mambo ya kisiasa.
Yule baba walah anisamehe nahisu kabisa alisingiziwa 😭Tunarudi zama za jiwe kwa kasi kubwa, kukutana na miili ya kwenye viroba ilikuwa jambo la kawaida
Ata yule mwanafunzi wa IFM alijikata kichwa akaenda kujitupa baharin...🚮Mimi sipendi kumsema mtu yeyote vibaya.Naishi na kauli ya serikali kwamba watu hujiteka.Sasa,mkuu kwa kauli hiyo kwani mtu hawezi kujitupa mtoni akiudhiwa na mpenzi wake?I wonder!🤔
Sasa,mkuu mwenye akili njema,kama mtu anaweza kujikata kidole,shingo au kichwa vitamshindaje?Na,kuingia kwenye gunia na kujitupa chubwi mtoni kuna ugumu gani sasa mheshimiwa?Unabishana na serikali siyo?Ata yule mwanafunzi wa IFM alijikata kichwa akaenda kujitupa baharin...🚮
Huna akili wew
CHADEMA mnafanya mauaji ili kuichafua Serikali alali iliyopewa ridhaa na watanzania, mbinu zenu chafu ipo siku mtaumbuka.Duuuh Kazi ya kizimkazi imeanza tena naona hapo katikati alipoa kidogo kusubiri tume tume imemaliza kazi ameanza tena
Tulia ni suala muda tu shetani hana rafiki,mwenzio polepole alikuwa zaidi yako.Mijitu mijinga na mitahira lazima ihusishe mambo ya kisiasa.