Nilivyo ona neno "alali" kwenye mwandiko wako nimejisemea tu "wale wale ee"....CHADEMA mnafanya mauaji ili kuichafua Serikali alali iliyopewa ridhaa na watanzania, mbinu zenu chafu ipo siku mtaumbuka.
Ok hakuna tatizo soka polepole kibao tumemuua sisi chadema si iliundwa tume ya mauaji ya kibao mbona haituletei majibu itaje chadema ndio inahusikaCHADEMA mnafanya mauaji ili kuichafua Serikali alali iliyopewa ridhaa na watanzania, mbinu zenu chafu ipo siku mtaumbuka.
Aacha kuchanganya hisia na ukwelYule baba walah anisamehe nahisu kabisa alisingiziwa 😭
Duuh,Mama mitano tena
Mkuu hawa unadhani wako hai? Hata mimi ningefurahi sana kama wangekuwa hai, lakini hisia zangu zinaniambia kuwa waliuawa mara walipotekwa. Pengine Soka aliachwa kwa muda lakini kwa Mdude na Polepole waliuawa mara walipotekwa. Formula ni kwamba ukishaua mtu mmoja ili kushughulikia kero inayokukabili huwezi kuaacha tena. Kla likija tatizo utaona njia ya haraka ni kuua.I hope si mdude wala slow slow or soka etc
kum.an.yokoAtakuwa alijitupa mtoni aogelee ikawa bahati mbaya akaaga dunia.🤔🤔🤔🤔
BAada ya mauji ya waziri wa mambo ya nje wa Kenya Dr Ouko, mtaalamu bingwa wa uchunguzi wa vifo, alifanya postmorterm na kutoka na taarifa kuwa" Dr Ouko, alijipiga risasi kisha akajichoma moto".Yupo kwenye kiroba inamaana alijiingiza kwenye kiroba alafu akajitupa kwenye maji
Au alijiteka kwasababu ya mapenzi kama alivosema jaji chande alafu akajiingiza kwenye kiroba alafu akajitupa kwenye maji
Polepole ni mpuuzi tu .Tulia ni suala muda tu shetani hana rafiki,mwenzio polepole alikuwa zaidi yako.
Utafikiwa tu suala la muda
Ni mimi asee wee acha tu, msitamani kuja huku kuna funza wa kutosha balaa.Sijui ni nani maskini😢😢
Jesus unafanya nicheke msibani😅🙌Ni mimi asee wee acha tu, msitamani kuja huku kuna funza wa kutosha balaa.
Inawezekana unahusika, mbona unatoa moshi sana. We are in terrible momments, raia wana wasiwasi sana na usalama wao.Mijitu mijinga na mitahira lazima ihusishe mambo ya kisiasa.