Ingawa comment yako ni valid overall, lakini ni premature at this given instance..., hatujui chanzo wala sababu...Muafaka wa pa1 aliousema polepole kwa sasa unahitajika saaana utu unaisha kwa kasi saaaaana ukipelekewa na utofauti wa itikadi zetu za vyama
Amemlomba afu kamtupa bahariniNi mafwele tu hakuna mwingine
Wewe umesema watu watasema hyo ni kazi ya mafwele.ndo nimekuuliza kwani mafwele kazi yake ni kuua?
Tunaelkea kuwa kama latin AmericaHaya mambo ya mtu kukutwa ameuwawa na kutupwa sehemu,mwisho wake yatazoweleka na kuonekana ni jambo la kawaida tu,
Na hapo ndipo itakapokua ni hatari zaidi,
Pia watuhumiwa wanapokua hawapatikani au kukamatwa,huwafanya na watu wengine kuingia kwenye huu uhalifu,hii ni hatari sana kwa kila mtu.
Na mimi nimekuuliza wewe ulisikia wapi?Wewe umesema watu watasema hyo ni kazi ya mafwele.ndo nimekuuliza kwani mafwele kazi yake ni kuua?
Kwako.hivi ndo uchizi umekuanza au?
Wewe mbwa usiye na mkia, siyo kila mama hapa duniani ni malaya kama alivyo mama yako aliyekuzaa.
haujajibu swali.kwani mafwele kazi yake ni kuua!?
Na wewe hujajibu swali wewe ulisikia wapi?πhaujajibu swali.kwani mafwele kazi yake ni kuua!?
Sishangai kwanini unashabikia ccm.maana ni lazma ujitoe akili kweli kweli
Unafikiri kila unayepingana naye ni ccm; mbona una akili mgando namna hii?πSishangai kwanini unashabikia ccm.maana ni lazma ujitoe akili kweli kweli
Umeongea ukweli kabisaa,Haya mambo ya mtu kukutwa ameuwawa na kutupwa sehemu,mwisho wake yatazoweleka na kuonekana ni jambo la kawaida tu,
Na hapo ndipo itakapokua ni hatari zaidi,
Pia watuhumiwa wanapokua hawapatikani au kukamatwa,huwafanya na watu wengine kuingia kwenye huu uhalifu,hii ni hatari sana kwa kila mtu.
Sasa mbona ulimtetea mafwele una uhakika hausiki?