Na tayari Mdogo wake Mzee Zadock ( Baba Mzazi wa Msanii wenu Nahreel ) ameshatangulia Kijijini Busegwe Uzanakini Wilayani Butiama Mkoa wa Mara kukamilisha taratibu zingine.
OMBI
Kwakuwa Mzee wa Watu ameshakaa katika Friji za Mochwari kwa zaidi ya Wiki Tano sasa sishauri Mwili wake ukitua kuwe na Mbwembwe nyingi na Kupoteza kwingi muda bali aagwe haraka na asafirishwe kwa Maziko haraka ili apumzike katika Nyumba yake ya Milele.
Haya
Pascal Mayalla na Waandishi Wenzako wa Habari ulitaka Updates za Msiba Nimeshakupenda hivyo nanyi sasa kwa mengine ya zaidi anzieni hapa.
Aliyenipa Taarifa hii japo imefanywa ni Siri na sijui ni kwanini ni Mmoja wa wana Kamati ya Maandalizi ya Msiba na hakujua na hatojua kuwa aliyekuwa akiongea nae ni Mimi MINOCYCLINE "
Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person" wa hapa JamiiForums.
Cc:
Bujibuji Simba Nyamaume na
Dr Matola PhD
Poleni nyote kwa Msiba huu Mzito.