Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Muulizeni Mjane Mama Leah na Bintiye Mkubwa Leah na Mwanae wa Kiume Walter Mkono ( wmkono ) aliyeifungua hii Akaunti yake hivi Karibuni.kumbe yule mzee bado hajazikwa..mbona imechukua muda mrefu kuleta mwili au mpunga umekata
Ukishapigwa ban kwenye id yako uchwara ya GENTAMYCINE unakuja kivingine na hiiid yako.Na tayari Mdogo wake Mzee Zadock ( Baba Mzazi wa Msanii wenu Nahreel ) ameshatangulia Kijijini Busegwe Uzanakini Wilayani Butiama Mkoa wa Mara kukamilisha taratibu zingine.
OMBI
Kwakuwa Mzee wa Watu ameshakaa katika Friji za Mochwari kwa zaidi ya Wiki Tano sasa sishauri Mwili wake ukitua kuwe na Mbwembwe nyingi na Kupoteza kwingi muda bali aagwe haraka na asafirishwe kwa Maziko haraka ili apumzike katika Nyumba yake ya Milele.
Haya Pascal Mayalla na Waandishi Wenzako wa Habari ulitaka Updates za Msiba Nimeshakupenda hivyo nanyi sasa kwa mengine ya zaidi anzieni hapa.
Aliyenipa Taarifa hii japo imefanywa ni Siri na sijui ni kwanini ni Mmoja wa wana Kamati ya Maandalizi ya Msiba na hakujua na hatojua kuwa aliyekuwa akiongea nae ni Mimi MINOCYCLINE "Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person" wa hapa JamiiForums.
Cc: Bujibuji Simba Nyamaume na Dr Matola PhD
Poleni nyote kwa Msiba huu Mzito.
Ukuu MINOCYCLINE , asante sana kwa taarifa hii, ambayo naichukulia na naihesabu kama just an info tip only, wakati tukisubiri taarifa rasmi kutoka kwa msemaji rasmi wa familia.Haya Pascal Mayalla na Waandishi Wenzako wa Habari ulitaka Updates za Msiba Nimeshakupenda hivyo nanyi sasa kwa mengine ya zaidi anzieni hapa.
Poleni nyote kwa Msiba huu Mzito.
Inashangaza kidogo, me nlishasahau km alishaaga duniaHuyu mzee kumbe hajazikwa badoo? Achilia kuletwa huku mwili wake? LOL
Mwili wa aliyekuwa mbunge wa Butiama Vijijini, Nimrod Mkono aliyefariki April 18 unatarajiwa kuwasili nchini May 27.
Mazishi yanatarajiwa kufanyika kijijini kwao Kigori Buswege Wilaya ya Butiama mkoani Mara.
View attachment 2632232