Mwili wakutwa ukining'inia kwenye mti eneo la Makangarawe Yombo Dovya, Dar es Salaam

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mwili wa mtu mmoja mwanaume ambaye hajafahamika jina umekutwa unaning'inia kwenye mti eneo la Makangarawe Yombo Dovya jijini DSM akidaiwa kujinyonga.

Polisi wamechukua mwili huo kwa ajili ya uchunguzi

Your browser is not able to display this video.
 
Amepatwa na msongo mkubwa wa mawazo akaona hii dunia siyo sehemu salama ya kuishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…