ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,739
- 2,697
Wadau Naomba Mrejee Kichwa Cha Habari Tajwa hapo Juu .Mwili wangu unawasha sana wakati wa joto hata usiku joto likizidi unawasha mpaka naamka kuoga usiku ndo nipumzike tena,maana desturi yangu naoga saa tatu usiku na kulala ila nikistuka hata saa sita joto likiwepo basi lazima nioge.hivi ni ugonjwa ama nn na kama ni ugonjwa ntapata tiba wapi ?Nisaidieni