MWILI WANGU WOTE KWENYE JOTO NAWASHWA NATAMANI NIJIKUNE MUDA WOTE.

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,739
Reaction score
2,697
Wadau Naomba Mrejee Kichwa Cha Habari Tajwa hapo Juu .Mwili wangu unawasha sana wakati wa joto hata usiku joto likizidi unawasha mpaka naamka kuoga usiku ndo nipumzike tena,maana desturi yangu naoga saa tatu usiku na kulala ila nikistuka hata saa sita joto likiwepo basi lazima nioge.hivi ni ugonjwa ama nn na kama ni ugonjwa ntapata tiba wapi ?Nisaidieni
 
Pole sana...

Funga Ac au lala na fenu... Jasho hilo linakuwasha na aina za nguo unazolalia nikimaanisha material...



Cc: mahondaw
 
Kuna ugonjwa unaitwa scabies. Na kama unawashwa zaidi usiku basi ndiyo wenyewe.

Scabies ni parasities, na hawaondoki bila dawa. Nenda kwa dermatologist wa uhakika ili akupe dawa.
 
Pole sana...

Funga Ac au lala na fenu... Jasho hilo linakuwasha na aina za nguo unazolalia nikimaanisha material...



Cc: mahondaw
Mimi nina shuka zaidi ya tano huwa najitaidi kubadilisha shuka lkn ttz liko pale pale .
 
Ndugu nimeenda phamancy nikaeleza vzr baada ya hapo nikapewa dawa hizi kwa ajili ya minyoo na mba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…