Uchaguzi 2020 Mwimba injili na aliyewahi kuwa Miss Dodoma achukua fomu Ubunge Viti Maalum CCM Kagera

Ambakucha

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2019
Posts
317
Reaction score
520
Aliyewahi kuwa Miss Dodoma miaka ya nyuma ambaye kwa sasa ni mwimbainjili nchini, Eva Evance Philipo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa CCM akiwakilisha wanawake mkoa wa Kagera.

Eva amesema kwa sasa hana la kusema, ila anamtanguliza Mungu mbele katika safari yake hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…