Mwimbaji wa Uganda Lady Mariamu yuko wapi?

Sio wimbo wa mambo bado. Chameleone
 
Sio wimbo wa mambo bado. Chameleone
Yaani ni kampuni ya kushoot video ile sio wimbo mmoja tu nyimbo nyingi yaani
Mwishoni wanaandika "Leon island" halafu chini yake "tugende tukole"
 

mbona waganda bado wapo hot sema tu siku hizi hakuna acts wakubwa wanaoimba lugha zinazoeleweka bongo kama zamani mfano Goodlife, Jackie chandiru, Blue 3, Chameleon

Ila bado wapo vizuri kwenye production ya muziki wao haswa quality videoz na pia wana acts kama Eddy Kenzo, Azawi, sheebah etc ambao bado wanahit East Africa nzima
 
Uganda kwa sasa nawajua wachache sana ..
Hao uliowataja tu sana sana eddy kenzo
Ila sema jamaa audio zao zilikuwa na quality Kali sanaaa yaani inaskika vizuri .
Ni kama audio quality za wale jamaa wa makhirikhiri.. Zilikuwa zinaskika maskioni vizuri sanaa
 

kwa sasa huwajui maana hawafanyi sana collabo na watanzania kama zamani.
maana watu wengi ukiwauliza kuhusu juliana watakutakutajia usiende mbali, haturudi nyuma na kidooogo nabikoowa

ila major hits zilikuwa ni collabo, msanii kama Azawi hajafanya collabo na msanii wa bongo ila ana quality music. Kasikilize quinamino maana naamini utakuwa ushaiskia
 
Waliitwa obsession
 
Mbalala Uganda siyo mbarari mkuu
 
Ni ya Dr Jose Chamelione
 
hapo 2004 mpaka 2010.

kulikuwa na competition kubwa sana kimuziki kati ya hizi nchi tatu,nakumbuka ilikuwa ukitune channel 5,ni hit kwa hiti mixer,ila siku hizi daaah.

kenya ndio kabisa wamepotea kwenye ramani,afadhali hata uganda wanalisha soko lao la ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…