Mwindaji hachoki kuwinda na akichoka ujue keshakuwa kibogoyo

Mwindaji hachoki kuwinda na akichoka ujue keshakuwa kibogoyo

MAPOUDA

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
446
Reaction score
296
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] naanza kwa kicheko. Manager haishiwi mbwembwe jukwaa la bure lazima nitiririke kama mzaramo kaona mdundiko.

Dunia ya Leo wawindaji tunawindana tena zaid ya sana. Hakuna cha kujishaua wala nini ndio maana tumechoka hata nyama kula zimetushinda. Au sijui nyingi ni mbovu au zimezidishwa mafutaaa? Wachaweeeee ichek churaaa ile ndio msemo wa vijana wa leo wasiojiweza kimoja taabani kwa kitanda haaaaaa lakini wadada muwe wasafi hata kama una chura kubwa basi nanih awe msafi isiwe harufu kama CARBON MONOXIDE haaaaaaa jaman mwari huyo.sikiza jamaa analia nyumba ya jiran kisa nin utamu umezidi,sasa basi ngono zembe haifai,sio yule nani wa jf nimchane alikuja ghetto akakuta alteza imepaki kesho akasema anakuja mapema anifanyie surprise daaaaah airfresh mbona iliisha daaah ni balaaa kweli mwindaji kibogoyo japo kwa kulazimishwa subirin muviiii iyendeleee kisa cha mkwere wa jf na jamaa wa instaaa...................
 
MKUU @/>`¤♡₩₩%~```》》¡¤``¤¤%%~~`÷<> HUJAELEWEKAA
 
MKUU @/>`¤♡₩₩%~```》》¡¤``¤¤%%~~`÷<> HUJAELEWEKAA
Lugha pana hyo isome utaelewa tu achen maisha ya kukariri formula za MTU mweupe ambae alishakufa ndio maana majengo yanadondoka na vitu fake kibao
 
Back
Top Bottom