Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU
Kwanini waingileza ndo kama wameukamata huu mchezo wa ngumi
Ni baada ya hapo jana waingileza wawili kutwangana na mwingeleza mmoja kutwangwa kama Ngoma
Huyu Joshua kabla hajapigana nilimpa ushauli nili mfuata inbox huko Instagram nilimpenda sana jamaa alijibu text zangu nilishangaa sana kwa kweli nahisi hii inatokana na mimi account yangu ya Instagram kupost vitu vinavyohusiana na dini tu huenda hicho ndo kilimvuta zaid
Kuna vitu tukachonga tukaelewana fresh kabisa lakin nilipompa ushauli juu ya chapa Jesus Christ kwenye pens yake akapinga nikaona jamaa kanipinga akidai yeye anamwamini YESU rohon
Leo nimemtext hajajibu ngoja tuone kesho
Acha tu apigwe maana ubishi mwingine haufai
LONDON BOY