Mwingira na waliozima tv yake nani mjinga??jumapili

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kwa mliokuwa kanisan siku yajumapili naona mh mmja ameshawajuza kilichoendelea anyway jf wajiiiiiiiiiiinga...waandishi wa habari wajiiiiiiiinga yaani akushia hapo...nanniiiiiiiiiinaooooooooo wash.....
sasa kuna hili lililonikuna kuuliza ok waandishi wajinga,jf ndio hao wanakutia wazimu ibada ufundishi unaishia matuzi..nauliza kulikoni kama wajinga ukalazimsha tv yako ifungwe wasionyeshe live
haya makanisa ndio tunalilia mungu aingilie kati kwa kweli..anyway sitaki kukujaji ila mwingira na hawa waliofunga tv imagine watu wangapi wamekosa neno la mungu kwa ajili ya mambo yenu ya kidunia(MATUSI)????kati ya hawa nani mjinga??
 
kaka changanya na zako na hiyo bank yake asiweke riba basi tuone vp hayo mashamba anayomiliki kwishaaaaaaaa habari yake
 
Inasemekana Mwingira ana criminal cases nyingi mahakamani - kuanzia za kuongopea wanafunzi scholarship na uporaji wa mashamba na viwanja.
 
hawa ndo manabii wa uongo na wachawi uko bagamoyo ana mashamba mengi na kesi alizo nazo kuhusu kugombania mashamba ni nyyingi anafikia hatua ya kuwaita waandishi wa habari ofisini kwake na kuwapa chakula kidogo ili wasitoe taarifa kwenye vyombo vya habari mimi nasema huyu nabii ni mtumishi wa shetani
 
Yesu kristo aliwajua mapema Sana akasema nyakati za mwisho za mfumo huu wa mambo wengi wangekuja kwa msingi wa Jina lake Lakini yeye hawatambui na atawafukuza na kuwambia nendeni zenu nyinyi mlio laniwa na baba yangu nilikuwa uchi hamkunivika nilikuwa nanjaa hamkunilisha Sasa wanavaa ngozi ya kondoo huku ndani ni mbwa mwitu wenyenjaa wanatamani kunyafua waamuni waoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…