Elections 2015 Mwingira Tuendelee kukuamini wewe ni nabii?!

Elections 2015 Mwingira Tuendelee kukuamini wewe ni nabii?!

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,804
Reaction score
12,227
Hao huwezi kuwatofautisha na wale wazee wa kuweka mzigo kwa muhindi...a.k.a wazee wa mikeka..au kubeti..
 
Mkuu kwa chama hicho hta kama ungetakiwa wewe kuwa rais wangekuchakachua tu..............
 
Kwani alisema atakuwa raisi mwaka 2015? Inawezekana akawa mwaka 2020, 2015. Na pia uchaguzi 25 octoba kwa hiyo subili c lazima awe ccm
 
Vip T.B JOSHUA Lowassa is next Tanzania President???Tuendelee kumwamini?
 
Nilihudhuria huu mkesha Wa mwaka mpya.
Hakusema directly japo nyalandu alikuwepo pale kama muumini lakini pia walikuwepo wanasiasa wengi akiwemo pindi chana na mke Wa magufuli. Alisema madhabahu hii itatoa rais na nyalandu akapewa nafasi kutoa neno akazungumzia vijana na maono.
 
Pengo kamtabiria Bashite hahahaha
 
1995 alianza Mch.Mtikila kutabiri Prof. Lipumba atakuwa Rais.

Kwa hali inavyoelekea, hata mashoga wa kimataifa wanawatumia vibaraka wao nchini kwa kisingizio cha demokrasia kutuchagulia Rais
 
Back
Top Bottom