Chawa katika ubora wake.CCM kipo ndugu miaka 70 mbele lengo letu kuakikisha kinabaki pekee Duniani👈
Yani tangu uhuru mpaka kufikia karne ya 22 bado wananchi wanaimani nacho
tena kubwa sana👈
Ukweli ni CCM tu👈
ndio tumaini la kweli kwa yoyote mwenye nia ya kutafuta fursa za kuwaongoza Watanzania
wenzake✍️
Ili amalizie kuhamishia dada yake anavyoachaKwa utulivu wake wa namna ya kuyaunganisha makundi mbalimbali ndiye Rais wa Tanzania 2030-2040
Wa milele ni Mungu tu takataka zingine zote zinapita.Utani tag siku CCM ikitoka madarakani
Labda,, koloni la Tanganyikà limewanogea. Ngoja tuone.Kwa utulivu wake wa namna ya kuyaunganisha makundi mbalimbali ndiye Rais wa Tanzania 2030-2040
Kwa hiyo wewe kiande Mkristo gani aliyekuharibia maisha🤣🤣🤣,kwa hiyo sasa hivi maisha yako yamenyoka wewe mbuzi wa kijaniHakuna sababu ni utaratibu wa kijinga,hao Wanaoitwa wakristo ni RC ambao watakuja kutuvurugia maisha
Hakuna hiyo hatuwezi kuongozwa na wazanzibari kila kukichwa hiini zamu ya mtu kutoka Tanganyika tena Mkristu, jeuri ya akina Mwaipopo ipo ukingoni.Kwa utulivu wake wa namna ya kuyaunganisha makundi mbalimbali ndiye Rais wa Tanzania 2030-2040
Kwa maana hiyo taifa ni urithi wa jamii ya wachache ama ipi maana yako?Kwa utulivu wake wa namna ya kuyaunganisha makundi mbalimbali ndiye Rais wa Tanzania 2030-2040
Lema 2030-2040Pass.
No, thank you!
Mawazo ya mtu binafsi yanaheshimika, lakini CCM ina utaratibu wake wa kupata Mgombea Urais wake.Kwa utulivu wake wa namna ya kuyaunganisha makundi mbalimbali ndiye Rais wa Tanzania 2030-2040
Nyerere na upumbavu wake wa uhujumu Uchumi, Mwendazake na sera zake za kufanya matajiri kuwa maskini na wapuuzi wengineKwa hiyo wewe kiande Mkristo gani aliyekuharibia maisha🤣🤣🤣,kwa hiyo sasa hivi maisha yako yamenyoka wewe mbuzi wa kijani
Wewe Majaliwa Acha kujipa promo,hata hivyo wewe nae si ni ccm mwenzao?Ccm wote ni takataka..Majaliwa K. Majaliwa a new Prezida
Kwa kweli mimi hamna chama Tanzania kinachonipa imani/ ninachokiamini kabisa na mimi sio mtu ambaye naweza kuweka major reservations aside hata kama najua kweli tulikopo sasa hivi na penyewe ni pabaya.Lema 2030-2040
Ukiwatukana wakristo kwa ujumla wao, na wakristo wakawatukana waislam kwa ujumla wao, ipo siku mtapigana kidini hapa Tanganyika,,, au ndiyo yale malipizi na visasi vya 29/10/2025 na Mwaipopo wenu ?Nyerere na upumbavu wake wa uhujumu Uchumi, Mwendazake na sera zake za kufanya matajiri kuwa maskini na wapuuzi wengine
Mtajua wenyewe ila Mimi sio mkristo Wala muislamu sifuati dini za wakoloni ila nachosema Uongozi wa Waislamu unazalisha maisha Mazuri watu wanakuwa na pesa ila nyie wengine ni mnaletaga ufukara.Ukiwatukana wakristo kwa ujumla wao, na wakristo wakawatukana waislam kwa ujumla wao, ipo siku mtapigana kidini hapa Tanganyika,,, au ndiyo yale malipizi na visasi vya 29/10/2025 na Mwaipopo wenu ?
Huwezi kuwatukana Marais wakristo na kuwatukana wakristo wote huku ukiwasifu waislam halafu unakana uislam na udini wako.Mtajua wenyewe ila Mimi sio mkristo Wala muislamu sifuati dini za wakoloni ila nachosema Uongozi wa Waislamu unazalisha maisha Mazuri watu wanakuwa na pesa ila nyie wengine ni mnaletaga ufukara.