Mwinyi Zaheera asaini kuifundisha Gwambina FC

Msimu ujao utakua mgum sana, kama waamuzi watalipwa vizuri.

Simba, Azam, Yanga, Namungo, Gwambina, Ihefu, KMC, Kagera Sugar, Polisi Tanzania & Prisons aiseee tutegemee soka safi
Wakina MO na TFF yao wasituharibie tuu Mpira
 
Gwambina kama hawatajihusisha na siasa za simba na yanga. Watafika mbali sana.
Nchi hii kukwepa usimba na uyanga ni ngumu kwani chanzo ni huko kwenye tff na kamati zake zote ndiko kuna endeshwa na usimba na uyanga!! Hata sakata hili linaloendelea bila usimba na uyanga, lilikuwa sio la kukaa muda wote huo!! Watu badala ya kuangalia kanuni/sheria zinasemaje wakijua hili litatuumiza wanaweka kanuni pembeni eti itumike busara!!! Na mfano huyo zahera aifanye hiyo timu iwe tishio utasikia tena wazee wa kuharibu wanaanza.
 
Kwani Nani kakukataza kuwa shabiki wa Mtibwa au Mbeya City?
 
Mbona redioni wametangaza kocha na benchi la ufundi linabaki lile lile lililoipandisha timu daraja.. mwinyi zahera sio kocha bali ni mkurugenzi wa ufundi wa gwambina.. ni cheo cha kiuongozi kama cha msolla pale yanga
 
Kwa hiyo Msolla ni Mkurugenzi wa Yanga,na Senzo je?
 
Kwa hiyo Msolla ni Mkurugenzi wa Yanga,na Senzo je?

Msolla ni mwenyekiti.. ndio maana nikasema ni cheo cha kiuongozi kama msolla... sio cheo cha ukocha alichopewa zahera.

Unaelewa maana ya neno cheo cha kiuongozi kama ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…