dos santos
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 256
- 128
Kocha wa timu ya Yanga Mwinyi Zahera amemkataa kipa Beno Kakolanya na kwamba ameruhusu aendfe timu nyingine na si Yanga.
Akizungumza na Yanga TV Zahera amesema wale waliomwambia aache kufanya mazoezi wamtafutie timu kabla ya dirisha la usajili kufungwa ila kwa Yanga haiwezekani tena.
Kama ilikuwa ni kutingisha kibiriti, kwa mkongo huyu kimejaa. Nidhamu kwake ndio jambo la kwanza kwa mchezaji. Misimamo yake na kwa mpira wetu wa bongo huenda wachache wakamuelwa.